Revenue Distribution Katika Zari All White Party!!!

Revenue Distribution Katika Zari All White Party!!!

Dada mwema mayai yake yote kakaangia chips sasa hawezi kupata kids sasa nani atamuoa?

Basi dada yetu aandike maumivu tu. Na makunyanzi ndo yamemuanza daah! kwa kweli inasikitisha KUCHAMBA KWINGI MWISHOWE UNAIBUKA NA NNYA

Dada Mwema labda asubirie BARNABA nae akitoka kwenye muziki amuoe vinginevyo ndo ajikunyate tu mwenyewe au avizie WAPIGAJI wa fasta fasta

mkuu hiyo si couple kamili? (Married couple) sasa ya nini kugawana? au ile ndoa ilikuwa geresha? ila kiukweli Mondi anakula kitu safiii, lainiiii, halafu hard working tofauti na UBAYA SEPETUA ambae anajua kununua mawig ya bei mbaya tuu
Wallah waswahili wana maneno sanaaaa.......
 
Wakuu Salam,

Nilikuwa na swali ambalo nimekua nikijiuliza kwa sababu kuu mbili;

Moja ni Kutaka kujua progress in terms of commercial growth and success kwa wasanii na celebrity wetu.

Na pili ku'justify assumptions nilizo nazo kuhusu entertainment industry ya Tanzania na muelekeo wake.

Sasa je kwa intelligent guess tu je mnaweza kuhisi in terms of percentage split of revenue.

Bwana Mondi atakua amelamba percent ngapi na dada yetu from UG atakua amelamba share percent ngapi??

Yes It was the among the best, highest grossing party in Bongo but kuna wanaosema without Chibu this party wouldn't have happened the way ilivyo hapen jana kwahyo ana'deserve credit nyingi kwake na kwa management yake, so obviously angepata shares nyingi zaid.

Na kuna wengine wanasema party theme ni brand ya shemeji na idea yake ku'introduce Bongo so obvioulsy yeye ndo ana'deserve credits nyingi zaid.

Personal Guess and Opinion: Mondi 70%-Shem From UG 30%

Naombeni michango yenu, "no feelings strictly business language"

Vp kuhusu TRA Mkuu?
 
Mkuu acha feelings, tunataka business language tuuuu kama ni maneno ya mtaan na mipasho basi yawe na accuracy na ukwel flan

Yule ni Nasibu na mwenziwe ni Zarina Hassan. Unahitaji watu watano tu kufungisha ndoa.

1. Mwanaume aliye tayari kuoa
2. Mwanamke aliye tayari kuolewa
3. Shahidi wa Mwanaume.
4. Shahidi wa Mwanamke
5. Mfungisha ndoa.

unaweza kuoa hata kwa video conference au mtu mwingine akakuwakilisha.
mpiga domo
 
Last edited by a moderator:
Yule mwanamke alivyokuwa ajazubaa unaweza kukuta kamwambia yote hiyo waanze kumuwekea kijacho trust fund na yeye mwenyewe ndio msimamizi.
 
Mkuu sidhan kama wako married ila wakijifungua mtoto na time ambayo watakua wamekaa nayo watakua wapo technical married

mambo ya share chibu ndio baba, ni ishu ya kifamilia.
pia kumbuka zari huwa anafanya party kama hii kila mwaka hajaanza jana wala leo.
 
Tra lazima walambe Chao kwani zari sio resident, jamaa walioandaa tamasha inabidi wamkate withholding tax. Then kwa kuwa source ya income ya zari ni urt pia kabla hajasepa itabidi atupe chetu tumpe tax clearance
 
Back
Top Bottom