BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Wakuu hii review ya Fei imekaa kimkakati kuwatoa watu kwenye tension ya yule ndugu yao kutoka Zanzibar ambaye anaendelea kutrend kwenye social network.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mixer ugali kwa sukari🤣🤣🤣🤣Fey Toto kateswa sana Yanga. Fey kalishwa wali kwa fenesi
Ni ngumu kuutoa umma kwenye hiyo reliWakuu hii review ya Fei imekaa kimkakati kuwatoa watu kwenye tension ya yule ndugu yao kutoka Zanzibar ambaye anaendelea kutrend kwenye social network.
Jamani[emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC
[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
Hata mbususu alikulia kwa ndizi.Mtoto kateseka sana.Fey Toto kateswa sana Yanga. Fey kalishwa wali kwa fenesi
Ajatia kinyaa sana maemae zake yuleNi ngumu kuutoa umma kwenye hiyo reli
Kuna nini huko mjini wengine tuko porini huku.Ni ngumu kuutoa umma kwenye hiyo reli
Yule bwege anafinyia ndani kinoma dadeqWakuu hii review ya Fei imekaa kimkakati kuwatoa watu kwenye tension ya yule ndugu yao kutoka Zanzibar ambaye anaendelea kutrend kwenye social network.
We bana wee.Wakuu hii review ya Fei imekaa kimkakati kuwatoa watu kwenye tension ya yule ndugu yao kutoka Zanzibar ambaye anaendelea kutrend kwenye social network.
Soccer ⚽ is owned by ccm in countryWakuu hii review ya Fei imekaa kimkakati kuwatoa watu kwenye tension ya yule ndugu yao kutoka Zanzibar ambaye anaendelea kutrend kwenye social network.