Revocat Karemangingo aliyekuwa luteni wa Jeshi Rwanda apigwa risasi na kuuawa Maputo Msumbiji

Kagame anachuki ya ajabu sana. Ila anaijenga Rwanda kibabe hivyo hivyo
 
Ushirikiano na Israel umeanza kuzaa matunda
 
Kuna jamaa aitwa Cassien ambae amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha na hadi leo hajulikani alipo.

Hii operesheni Mozambique ni mwamvuli wa mambo mengine ambayo Karemangingo alipaswa kuchukua tahadhari.
 
Inasemekana pia kagame alimuua Prof mwakiusa aliye kuwa nguli wa sheria Tanzania
 
Kwahiyo walitudamganya wamenda kupambana na ISIS kumbe wanalo kwingine❕❕❕❕❕❕❕❕❕❕❕❕❕❕❕
 
Maputo ilialika jeshi la Rwanda afu nae akaendelea kubaki huko hakujua kwamba hatari iko kwake? Si angesepa South Africa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…