Reza Kasab, kamanda wa kitengo cha makombora cha Iran huko Kashan ameuwawa

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Vyanzo vya Iran vinadai kwamba Reza Kasab, kamanda wa kitengo cha makombora cha Iran huko Kashan, aliuawa wakati ndege isiyo na rubani ya kujitoa mhanga iligonga gari lake na yeye kuteka tea ndani ya gari hilo, Wafuga Midevu na Majini wote tukuombee tu!!

Kulingana na ripoti hizo, ndege hiyo isiyo na rubani ilirushwa kutoka ndani ya Iran hii inaonyesha wazi kuwa Israel bado Ina mizizi ndani ya Iran

IMG_4776.jpeg
 
Hilo ni pigo kubwa sana kwa jihadists wa kwenye hili jukwaa.
 
IMERIPOTIWA | IRAN

Vyanzo vya Iran vinadai kwamba Reza Kasab, kamanda wa kitengo cha makombora cha Iran huko Kashan, aliuawa wakati ndege isiyo na rubani ya kujitoa mhanga iligonga gari lake na yeye kuteka tea ndani ya gari hilo, Wafuga Midevu na Majini wote tukuombee tu!!

Kulingana na ripoti hizo, ndege hiyo isiyo na rubani ilirushwa kutoka ndani ya Iran hii inaonyesha wazi kuwa Israel bado Ina mizizi ndani ya Iran

⚠️ Imeripotiwa na vyanzo vya Iran.

Israel hawapoi hawaboi. Hawa jamaa nawakubali sana... Hawacheki na mb2a koko....
 
IMERIPOTIWA | IRAN

Vyanzo vya Iran vinadai kwamba Reza Kasab, kamanda wa kitengo cha makombora cha Iran huko Kashan, aliuawa wakati ndege isiyo na rubani ya kujitoa mhanga iligonga gari lake na yeye kuteka tea ndani ya gari hilo, Wafuga Midevu na.
asante kwa taarifa mama mchungaji! Mungu akubariki!
 
Back
Top Bottom