RHMT Member Wanachaguliwa na RMO?

RHMT Member Wanachaguliwa na RMO?

boy lanugo

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
290
Reaction score
272
Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT .

Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu 😂, mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.

Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?
 
ukiyashangaa hayo fatilia wenyeviti wa bodi za shule za sekondari ,mwenyekiti wakamati na wajumbe wake ni wauza pombe vilabuni za machicha na ulazi, walimu wakuu hupendekeza majina na elimu mkoa wanapitisha bila haya
 
Karibu kwenye utumishi wa umma kijana.

Huku kuna madudu zaidi ya kwenye siasa, kimsingi huku kuna siasa hata siasa zenyewe.

Wewe fanya kilichokupeleka kisha endelea na maisha yako mengine.
 
Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT . Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu 😂, mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.
Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?
Ndio napo ni hivo hata ngazi ya Taifa,madokta kibao wanasugua,ila Jenista Muhagama ndio anaendena na kasi ya Chura kiziwi
 
kwanza lazima uhamishwe uende mikoa yenye changamoto za kutosha na usidai pesa za uhamisho pili lazima uwe na angalau bachelor degree hii ni lazima.
 
Hii CHMT ni madudu matupu huku wilayani. Bila shaka mama yetu Dr Doroth Gwajima atafafanua. Mfano wa uozo huu upo Maswa Dc
 
Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT . Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu [emoji23], mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.
Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?
Fanya kazi kwa uadilifu na kujituma kama wajibu wa msingi wa ajira yako.Acha kuanza kutamani vyeo wakati ndio kwanza umeajiriwa.
Usipoangalia watu kama wewe ndio mnakuwaga wachawi pamoja na degree yako unaenda kuchanjwa chale matakoni ili mradi tu uwe RHMT member
 
Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT . Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu 😂, mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.
Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?
Indeed.

To cut short a story. Kazi za Serikalini hasa Halmashaurini, huwa hakuzingatiwi weledi.
 
Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT . Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu 😂, mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.
Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?
Fanya kazi tu mambo yataeleweka badae ndio changamoto za utumishi
 
Mkuu huku local government fanya kazi chukuwa mshahara wako pita hivi hivyo vyeo ukitaka kupewa lazima connection au rushwa fatilia wakuu wa Shule / walimu wakuu na hao afisa Elimu wa wilaya
 
Back
Top Bottom