boy lanugo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 290
- 272
Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT .
Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu 😂, mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.
Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?