Rhoda Kunchela, Mbunge wa CHADEMA Katavi akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana


NIMETAARIFIWA: Mbunge (VM) Katavi KunchelaRhoda ameswekwa ndani na kunyimwa DHAMANA Kituo cha Polisi Mpanda.

KOSA: Hakwenda alipoitwa kwa simu na OCD licha ya kumwambia OCD alikuwa Bungeni na alikuwa mgonjwa.

OCD anadai pia Mbunge alifanya Mkutano bila kibali(kibali kilikuwepo) #suphianJuma
 
Kazi ya polis Ni kupambana Na wapinzani Wa ccm.hatari sana.ninachoshangaa wapinzani wako kimwa hawalalamiki tu Na uovu Wa polisccm
 
Hao jamaa ndo uongoza kwa maisha magumu japo uisapoti ushindi cccm thamani yao wakati wa uchaguzi tu
 
Wabunge wa upinzani wanaowatetea polisi ndio wanaokamatwa,wazee wa ndiyoooo kwa kila kitu wao hawagushwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…