Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Zelote Stephen aliyekuwa RPC sasa ni mwenyekiti wa CCM ARUSHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Police wa Tanzania wanatia huruma mno...kufanya kazi kwa maagizo ya CCM....
Wengi wao ukiwahoji wanasema..ndiyo hivyo kaka tunatii amri za wakubwa... CCM ndiyo kila kitu msitulaumu sisi jamani...tuna familia pia na haya mengine yanasikitisha kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app