Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Police wa Tanzania wanatia huruma mno...kufanya kazi kwa maagizo ya CCM....
Wengi wao ukiwahoji wanasema..ndiyo hivyo kaka tunatii amri za wakubwa... CCM ndiyo kila kitu msitulaumu sisi jamani...tuna familia pia na haya mengine yanasikitisha kwa kweli.
Hata wewe nakufahamu, sasa shida iko wapi?
Ova.
Kwa hiyo mme wake ndo katuma polisi kumkamata?Ununue mtu asiekuwa na jimbo wa kazi gani?
Huyo atakuwa na ugomvi na mume wake
Sijakuelewa hapo ulitaka kutuambia nini !?.Yote hayo ni hofu iliyozaa chuki kwa upinzani bila kuwa na hoja! So nguvu ndio zima moto kwao.
Tatizo upinzani nao hawajielewi, sijui wanapewa nn na kusahau matamko na nia yao ya kuwa wapinzani. CCM pasua kuchwa CHADEMA umiza kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app