Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
IMG-20250115-WA0268.jpg

===
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina.

Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
 
Same people same agenda 😅😅.
Huo utoto wa Diaspora 30 ku propagandize kila kitu..

Kwa Bawacha hakuna ujanja
 
champion mbowe anaenda kupigwa spana.
leadership of our best chairman come to an end

mbowe thank you for everything hakuna tunachokudai kamanda 🙏🙏🙏
 
Mbona sugu hafanyi press tujue yuko upande upi huyo mwamba? Imebaki wiki moja tu kipute kipigwe sandukuni kunako kura
 
Mkoa wa Katavi una ufuasi mkubwa wa CHADEMA. Tangu enzi za Mzee Said Amour Arfi, Rhoda Kunchela Mwenyewe mpaka Madiwani kadhaa ambao CHADEMA imepata kuwa nao akiwemo Mheshimiwa Aida Kenani kutoka Mkoa Jirani wa Rukwa.

Wacha tumsikie anakuja na yepi
 
Same people same agenda 😅😅.
Huo utoto wa Diaspora 30 ku propagandize kila kitu..

Kwa Bawacha hakuna ujanja
Ni kweli aliyepost ni diaspora hajui hata huyo anaemiita viti maalumu
 
Sio mbunge pekee wa kuchaguliwa bana,mbunge pekee kutoka Chadema ni Aida Kenani mbunge wa Nkasi
Soma vizuri! Ujamwelewa. Anasema Mbunge pekee mstaafu. Aliyechaguliwa kuongoza ngazi ya Mkoa! Kenan ni mstaafu?
 
View attachment 3203020
===
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina.

Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
Huko chadeka,Kila mtu anaruhusiwa kuongea na vyombo vya habari???
Katiba Yao ikoje!😳
 
Huko chadeka,Kila mtu anaruhusiwa kuongea na vyombo vya habari???
Katiba Yao ikoje!😳
Duni Haji alisema.Chadema kila mtu ni kambale ana ndevu

Chama kiko.shaghala baghala hata Mdude aweza itisha press conference
 
Back
Top Bottom