Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

View attachment 3203020
===
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina.

Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
Labda anakuja kuongelea hii!
Hadi sasa wameshakuf... Watu kibao Dar
 
Attachments

  • 5929966-5358adcd11ca564ef6ab279deb233ae9 (1).mp4
    14 MB
View attachment 3203020
===
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina.

Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
 
Ushindi ni idadi ya kura na si idadi ya matamko.
 
champion mbowe anaenda kupigwa spana.
leadership of our best chairman come to an end

mbowe thank you for everything hakuna tunachokudai kamanda 🙏🙏🙏
Mpiga kura? Au mpiga debe social media
 
Back
Top Bottom