Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Ni KweliSio mbunge pekee wa kuchaguliwa bana,mbunge pekee kutoka Chadema ni Aida Kenani mbunge wa Nkasi
Same people same agenda π π .
Huo utoto wa Diaspora 30 ku propagandize kila kitu..
Kwa Bawacha hakuna ujanja
Ngoja tutamsikia hiyo kesho..huyo inawezekana hayuko upande wa wabangaizaji.
No way,..huyo inawezekana hayuko upande wa wabangaizaji.
No way,
Huyo aliepost ni Diaspora 30..
Deal imekamilika
Mwamba kachokwa,sito siri tena.Huyu si mtu Mwamba au anatangaza kumkacha?
Ni kweli aliyepost ni diaspora hajui hata huyo anaemiita viti maalumuSame people same agenda π π .
Huo utoto wa Diaspora 30 ku propagandize kila kitu..
Kwa Bawacha hakuna ujanja
Soma vizuri! Ujamwelewa. Anasema Mbunge pekee mstaafu. Aliyechaguliwa kuongoza ngazi ya Mkoa! Kenan ni mstaafu?Sio mbunge pekee wa kuchaguliwa bana,mbunge pekee kutoka Chadema ni Aida Kenani mbunge wa Nkasi
Huko chadeka,Kila mtu anaruhusiwa kuongea na vyombo vya habari???View attachment 3203020
===
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina.
Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
Duni Haji alisema.Chadema kila mtu ni kambale ana ndevuHuko chadeka,Kila mtu anaruhusiwa kuongea na vyombo vya habari???
Katiba Yao ikoje!π³