Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Maamuzi ya refa kukataa goli la Azizi ki yamezua gumzo sio Tanzania tu bali kwa mashabiki wote wa soka barani Afrika, yote kwa yote ili ni suala ambalo ubishi ulitakiwa kumalizwa na goal line technology ambayo haipo hapa Afrika
Maamuzi ya refa yanabaki 50/50 uuenda alikua sahihi au hakua sahihi, tuachane na ilo suala tuangalie mbinu walizoingia nazo hawa makocha wawili
Kwa Mkapa pale Gamondi aliingia na mbinu ya kukabia katikati ya uwanja halafu tukipata mpira tunashambulia haraka haraka kabla mpinzani hajajipanga kiulinzi
Upande wa Mokwena sikuona mpango wowote alioingia nao zaidi ya kumiliki tu mpira na kupiga pasi nyingi zisizokua na madhara, kuna muda Mokwena alijaribu kucheza pasi nyuma kwa mabeki na kipa lengo likiwa kuwavuta wapinzani ili waachie mianya pale katikati ya uwanja lakini Gamondi alishtukia mtego akabaki kwenye game plan yake.
Mechi ya kule South Africa, Gamondi akubadilika aliingia na mpango ule ule alioingia nao kwa Mkapa, formation ile ile wachezaji wale wale sura mpya ilikua Guede tu aliechukua nafasi ya Mzize.
Upande wa Mokwena aliingia na mpango wa kutafuta goli la mapema akiamini akifanikiwa kufanya ivyo Gamondi itabidi ajitoe muhanga kushambulia maana yake ataacha nafasi nyuma kwaiyo mechi itakua wazi zaidi.
Inaonekana Yanga walishatabiri Sundowns watakuja na mpango huo wakawa wanapoteza muda kupitia Diarra walijua kadili muda unavyoenda na jamaa hawapati goli watazidi kuwa frastuated na hapo ndipo tutakapowaumiza.
Tukifanya tathmini ya mechi unaona mpango wa Gamondi ulifanikiwa maana sundowns akuweza kupenya na yanga alipata clear chances kadhaa umaliziaji ukawa butu. Mbinu aliyoingia nayo Gamondi inaihitaji streika katili sana pale mbele yaani akipata nafasi hakuachi.
Mpango wa Mokwena ulifeli naamini hata mechi ingechezwa vipindi vitatu yaani ziongezwe dakika 45 zingine Mamelod Sundowns asingeweza kupata goli ni bahati kwake ana kipa mkali wa kudaka penati.
Nini kifanyike?
Yanga anatakiwa aingie sokoni kusajiri streika wa level za michuano ya CAF, nafasi zingine uwanjani zipo sawa labda aongeze tu wachezaji ili kuwa na kikosi kipana
Mamolod sundowns anatakiwa kubadilisha kocha. Mokwena anabebwa na expensive squad aliyonayo pamoja na uwepo wa Motsepe pale CAF( hii inasaidia kupata upendelea na timu yake kuogopwa na marefa) but in terms of tactics, experience, mind games, technical know-how Mokwena he is still a kid.