Rhulan Mokwena vs Miguel Gamondi

Rhulan Mokwena vs Miguel Gamondi

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Maamuzi ya refa kukataa goli la Azizi ki yamezua gumzo sio Tanzania tu bali kwa mashabiki wote wa soka barani Afrika, yote kwa yote ili ni suala ambalo ubishi ulitakiwa kumalizwa na goal line technology ambayo haipo hapa Afrika

Maamuzi ya refa yanabaki 50/50 uuenda alikua sahihi au hakua sahihi, tuachane na ilo suala tuangalie mbinu walizoingia nazo hawa makocha wawili

Kwa Mkapa pale Gamondi aliingia na mbinu ya kukabia katikati ya uwanja halafu tukipata mpira tunashambulia haraka haraka kabla mpinzani hajajipanga kiulinzi

Upande wa Mokwena sikuona mpango wowote alioingia nao zaidi ya kumiliki tu mpira na kupiga pasi nyingi zisizokua na madhara, kuna muda Mokwena alijaribu kucheza pasi nyuma kwa mabeki na kipa lengo likiwa kuwavuta wapinzani ili waachie mianya pale katikati ya uwanja lakini Gamondi alishtukia mtego akabaki kwenye game plan yake.

Mechi ya kule South Africa, Gamondi akubadilika aliingia na mpango ule ule alioingia nao kwa Mkapa, formation ile ile wachezaji wale wale sura mpya ilikua Guede tu aliechukua nafasi ya Mzize.

Upande wa Mokwena aliingia na mpango wa kutafuta goli la mapema akiamini akifanikiwa kufanya ivyo Gamondi itabidi ajitoe muhanga kushambulia maana yake ataacha nafasi nyuma kwaiyo mechi itakua wazi zaidi.

Inaonekana Yanga walishatabiri Sundowns watakuja na mpango huo wakawa wanapoteza muda kupitia Diarra walijua kadili muda unavyoenda na jamaa hawapati goli watazidi kuwa frastuated na hapo ndipo tutakapowaumiza.

Tukifanya tathmini ya mechi unaona mpango wa Gamondi ulifanikiwa maana sundowns akuweza kupenya na yanga alipata clear chances kadhaa umaliziaji ukawa butu. Mbinu aliyoingia nayo Gamondi inaihitaji streika katili sana pale mbele yaani akipata nafasi hakuachi.

Mpango wa Mokwena ulifeli naamini hata mechi ingechezwa vipindi vitatu yaani ziongezwe dakika 45 zingine Mamelod Sundowns asingeweza kupata goli ni bahati kwake ana kipa mkali wa kudaka penati.

Nini kifanyike?
Yanga anatakiwa aingie sokoni kusajiri streika wa level za michuano ya CAF, nafasi zingine uwanjani zipo sawa labda aongeze tu wachezaji ili kuwa na kikosi kipana

Mamolod sundowns anatakiwa kubadilisha kocha. Mokwena anabebwa na expensive squad aliyonayo pamoja na uwepo wa Motsepe pale CAF( hii inasaidia kupata upendelea na timu yake kuogopwa na marefa) but in terms of tactics, experience, mind games, technical know-how Mokwena he is still a kid.
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE

Wewe mpumbavu ukiona mambo ya yanga ndio unakuja na huu ushuzi wako. Ila timu lako bovu unalishangilia. Nitakuweka ignore list muda si mrefu
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Kwahiyo mwaka jana na miaka ya nyuma timu yako Simba ilipokuwa vizuri unakesha jukwaa la Sports haukuwa na matatizo ya akili? Ila matatizo ya akili yameanza baada ya Simba kushuka kiwango?

Jaribu kuheshimu mawazo ya watu wanaoanzisha nyuzi, usiwaharibie nyuzi zao kwa kuleta hisia zako zisizo na maana.
 
Mkuu kumbe ulipona ugonjwa huu?
 
Yule refa ana moto wake special jehanum.
 
Attachments

  • 5682167-4b4fb6a42c070f3306c0f595187ea8a-1.mp4
    3.1 MB
Wewe mpumbavu ukiona mambo ya yanga ndio unakuja na huu ushuzi wako. Ila timu lako bovu unalishangilia. Nitakuweka ignore list muda si mrefu

FB_IMG_1682646137959 (3).jpg
 
Kwahiyo mwaka jana na miaka ya nyuma timu yako Simba ilipokuwa vizuri unakesha jukwaa la Sports haukuwa na matatizo ya akili? Ila matatizo ya akili yameanza baada ya Simba kushuka kiwango?

Jaribu kuheshimu mawazo ya watu wanaoanzisha nyuzi, usiwaharibie nyuzi zao kwa kuleta hisia zako zisizo na maana.

Umemaliza kuandika Labda naweza kukujibu kwa Hoja
 
Mtu aliyekuwa Brazil angetoa maoni gani baada ya kuiona hiyo mechi?
 
NAfikiri Brazil umemaanisha mamelod sundowns. kuna mashabiki wengi wa sundowns wameonesha wasiwasi na mbinu za kocha kukosa ubinifu.
 
Mbona hata Mamelod walipata nafasi za wazi zaidi 4 washambuliaji wao wakazingua?

Hata Mamelod safu yake ya ushambuliaji imeisha makali sio kama kipindi cha nyuma.
 
Nafasi walipata mfano ile mkude alietoa pasi mbovu ikamkuta mchezaji wa mamelod lakini nafasi walizopata sio sio zile clear kama alizokosa mzize kwa mkapa na kule south africa. Hakuna mchezaji wa mamelod aliokosa goli akiwa kwa ukaribu wa face to face kama alizopata mzize
 
Mimi ni mtu wa Ibada sana sana ndugu yangu.

Ukimaliza kumchafua mtu yale matope ule uchafu unakurudia .

Karma is real.

Mimi nimeotwa shoga nimekubali.
Ila Yeye ana watoto na atapata watoto.

Ahadi na Mungu ni kulipa Uovu hadi kizazi cha tatu na cha nne.

Au na wewe unataka kujiinhizankwenye Hiyo laaana????

TUMUOMBE SANA MUNGU
Mtu wa ibada halafu huoni matusi unayowatukana hadi ndugu zako?
Hiyo ibada ni ibada gani inayoruhusu kuwaita wenzio mambwa? Ni ibada gani inaruhusu kuwaita wenzio manyani? Ni ibada gani inayoruhusu kuwaita wenzio mazuzy? Halafu ulivyokosa maarifa kwa kutawaliwa na usimba mpaka akili za kufikiria ukakosa ukashindwa hata kufikiria kuwa una ndugu zako kama wajomba, mashangazi, makaka, madada, wababa, wamama zako ambao ni washabiki wa Yanga lakini kwavile upo timamu kifikra unaamua kuwatusi kisa tu usimba umekutawala. Kupitia comments zako humu unaonesha una stress zilizopitiliza na zinatokana na mwenendo wa timu yako. Ni wazi unaowaona wenzio wamechanganyikiwa ila kumbe wewe ndio umechanganyikiwa ila hujajijua. Ndio maana una comment kila uzi kuhusu wanaoshabikia Simba na Yanga ni wapuuzi hawana kazi za kufanya halafu wewe mwenyewe kila post za Simba na Yanga hupo. Je unafuata nini kwenye post?
 
Mtu wa ibada halafu huoni matusi unayowatukana hadi ndugu zako?
Hiyo ibada ni ibada gani inayoruhusu kuwaita wenzio mambwa? Ni ibada gani inaruhusu kuwaita wenzio manyani? Ni ibada gani inayoruhusu kuwaita wenzio mazuzy? Halafu ulivyokosa maarifa kwa kutawaliwa na usimba mpaka akili za kufikiria ukakosa ukashindwa hata kufikiria kuwa una ndugu zako kama wajomba, mashangazi, makaka, madada, wababa, wamama zako ambao ni washabiki wa Yanga lakini kwavile upo timamu kifikra unaamua kuwatusi kisa tu usimba umekutawala. Kupitia comments zako humu unaonesha una stress zilizopitiliza na zinatokana na mwenendo wa timu yako. Ni wazi unaowaona wenzio wamechanganyikiwa ila kumbe wewe ndio umechanganyikiwa ila hujajijua. Ndio maana una comment kila uzi kuhusu wanaoshabikia Simba na Yanga ni wapuuzi hawana kazi za kufanya halafu wewe mwenyewe kila post za Simba na Yanga hupo. Je unafuata nini kwenye post?
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Maamuzi ya refa kukataa goli la Azizi ki yamezua gumzo sio Tanzania tu bali kwa mashabiki wote wa soka barani Afrika, yote kwa yote ili ni suala ambalo ubishi ulitakiwa kumalizwa na goal line technology ambayo haipo hapa Afrika

Maamuzi ya refa yanabaki 50/50 uuenda alikua sahihi au hakua sahihi, tuachane na ilo suala tuangalie mbinu walizoingia nazo hawa makocha wawili

Kwa Mkapa pale Gamondi aliingia na mbinu ya kukabia katikati ya uwanja halafu tukipata mpira tunashambulia haraka haraka kabla mpinzani hajajipanga kiulinzi

Upande wa Mokwena sikuona mpango wowote alioingia nao zaidi ya kumiliki tu mpira na kupiga pasi nyingi zisizokua na madhara, kuna muda Mokwena alijaribu kucheza pasi nyuma kwa mabeki na kipa lengo likiwa kuwavuta wapinzani ili waachie mianya pale katikati ya uwanja lakini Gamondi alishtukia mtego akabaki kwenye game plan yake.

Mechi ya kule South Africa, Gamondi akubadilika aliingia na mpango ule ule alioingia nao kwa Mkapa, formation ile ile wachezaji wale wale sura mpya ilikua Guede tu aliechukua nafasi ya Mzize.

Upande wa Mokwena aliingia na mpango wa kutafuta goli la mapema akiamini akifanikiwa kufanya ivyo Gamondi itabidi ajitoe muhanga kushambulia maana yake ataacha nafasi nyuma kwaiyo mechi itakua wazi zaidi.

Inaonekana Yanga walishatabiri Sundowns watakuja na mpango huo wakawa wanapoteza muda kupitia Diarra walijua kadili muda unavyoenda na jamaa hawapati goli watazidi kuwa frastuated na hapo ndipo tutakapowaumiza.

Tukifanya tathmini ya mechi unaona mpango wa Gamondi ulifanikiwa maana sundowns akuweza kupenya na yanga alipata clear chances kadhaa umaliziaji ukawa butu. Mbinu aliyoingia nayo Gamondi inaihitaji streika katili sana pale mbele yaani akipata nafasi hakuachi.

Mpango wa Mokwena ulifeli naamini hata mechi ingechezwa vipindi vitatu yaani ziongezwe dakika 45 zingine Mamelod Sundowns asingeweza kupata goli ni bahati kwake ana kipa mkali wa kudaka penati.

Nini kifanyike?
Yanga anatakiwa aingie sokoni kusajiri streika wa level za michuano ya CAF, nafasi zingine uwanjani zipo sawa labda aongeze tu wachezaji ili kuwa na kikosi kipana

Mamolod sundowns anatakiwa kubadilisha kocha. Mokwena anabebwa na expensive squad aliyonayo pamoja na uwepo wa Motsepe pale CAF( hii inasaidia kupata upendelea na timu yake kuogopwa na marefa) but in terms of tactics, experience, mind games, technical know-how Mokwena he is still a kid.
Mechi hata ingechezwa siku 5 mfululizo bado Mamelodi wasingepata bao hata la offside
 
Back
Top Bottom