Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Lebo ya Alikiba "Kings music" wametoa ngoma inaitwa Rhumba,Ni ngoma Kali sana,Ila kinacho niumiza ni pale napoona kipaji kikubwa walicho nacho hawa vijana ila maajabu boss wao kashindwa kuwabrand.