Rhumba ya Kings music imekuja ili kuuzima wimbo wa Inama wa Diamond.

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Baada ya kuona wimbo wa inama wa bwana Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz ukiendelea kusumbua mtaani na kwenye mitandao ya kijamii, kiba akaona isiwe kesi ngoja niuzime huu wimbo kwa kuachia kazi mpya. King kiba akaa chini aka organize na team yake wakashauriana na kufikia mwafaka kuwa Rhumba ndo wimbo pekee ambao utaweza kufifsha kasi ya wimbo wa inama wa Diamond. Pamoja na figisu zote hizo lakini naona lengo lao halijafanaikiwa maana Rhumba ni imejifia kabisa kama imetoka miaka mitatu iliyopita huku inama ikzid kusumbua tu. King kiba tunakushauri uache tu kuimba na hicho kikundi chako cha kwaya, Diamond humuwezi.
 
Diamond ni habari nyingine...
Hats nchi za kigeni pamoja na kutoelewa baadhi ya maneno anayoimba wanazipenda mno nyimbo zake..
Juzi I was shocked naingia YouTube nkakumbuka gang moja hivi la teenagers la kudance wanaitwa Petit Afro Gang..nicheki wamecheza wimbo gani mpya nakuta tetema...loh!
 
Wanakunyima usingizi mkuu? Kitendo cha kuja kuanzisha thread inaonyesha ni jinsi gani hao vijana wachanga kwenye game ya mziki wameshaanza kuwapeleka mpute mpute
Unaongelea hicho kikundi cha kwaya ama? Maana hawana jipya zaidi ya kubana pua tu.
 
Ungejua jamaa wa petit afro ni mswahili ka wewe usingeandika ulichoandika
 
hicho hicho kilichokutoa mkuku mkuku hadi ukaanzisha thread hapa
Tabia yao ya kutaka kuzima wimbo wa mwenzao ndo nachokieongelea hapa mbn unakuwa boya hivo unashindwa kuelewa kitu kidogo tu kama icho.
 
Tabia yao ya kutaka kuzima wimbo wa mwenzao ndo nachokieongelea hapa mbn unakuwa boya hivo unashindwa kuelewa kitu kidogo tu kama icho.
wewe umepanic sasa hao wanazimaje wimbo wa mwenzao, kila mtu anatoa wimbo kwa ratiba zake.
Hii ni dalili ya woga, vijana bado wachanga hao kwenye sanaa sijui hiyo nyimbo ya jamaa yako wanaizimaje hapo. Bora ungekaa tu kimya kuficha ujinga wako
 
wewe umepanic sasa hao wanazimaje wimbo wa mwenza, kila mtu anatoa wimbo kwa ratiba zake.
Hii ni dalili ya woga, vijana bado wachanga hao kwenye sanaa sijui hiyo nyimbo ya jamaa yako. Bora ungekaa tu kimya kuficha ujinga wako
Rhumba imejifia kama imetoka mwaka juzi. Jipangane na kubana pua kwenu.
 
hivi
bongo hayuwezi kusifia hadi tuponde upande wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…