kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Baada ya kuona wimbo wa inama wa bwana Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz ukiendelea kusumbua mtaani na kwenye mitandao ya kijamii, kiba akaona isiwe kesi ngoja niuzime huu wimbo kwa kuachia kazi mpya. King kiba akaa chini aka organize na team yake wakashauriana na kufikia mwafaka kuwa Rhumba ndo wimbo pekee ambao utaweza kufifsha kasi ya wimbo wa inama wa Diamond. Pamoja na figisu zote hizo lakini naona lengo lao halijafanaikiwa maana Rhumba ni imejifia kabisa kama imetoka miaka mitatu iliyopita huku inama ikzid kusumbua tu. King kiba tunakushauri uache tu kuimba na hicho kikundi chako cha kwaya, Diamond humuwezi.