Salaam,
Nimekuwa nikifuatilia michezo ya Olympic inayoendelea kule Brazil, majirani zetu wanafanya vizuri sana hasa mchezo wa riadha na ni kwa miaka mingi mfululizo.
Tanzania wala haionekani hata kusikika, nimeejiuliza hvi huu hauwezi kuwa uzembe uliopitiliza?? Kwa nini tunashindwa kujifunza kitu toka kwa hawa majirani zetu?? Tatizo hapo ni nini?? Ukiwa mkoani arusha ni kama upo Kenya tu kwa hali ya hewa na ukaribu, sasa jamani tatizo nini sisi watanzania?? Tumelogwa????