Riadha Kenya ipo juu, kwa nini Tanzania tunashindwa??

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Salaam,

Nimekuwa nikifuatilia michezo ya Olympic inayoendelea kule Brazil, majirani zetu wanafanya vizuri sana hasa mchezo wa riadha na ni kwa miaka mingi mfululizo.

Tanzania wala haionekani hata kusikika, nimeejiuliza hvi huu hauwezi kuwa uzembe uliopitiliza?? Kwa nini tunashindwa kujifunza kitu toka kwa hawa majirani zetu?? Tatizo hapo ni nini?? Ukiwa mkoani arusha ni kama upo Kenya tu kwa hali ya hewa na ukaribu, sasa jamani tatizo nini sisi watanzania?? Tumelogwa????
 
Nchi ya VIWANDA! siyo riadha
 
Back
Top Bottom