Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
its gonna take the another 'principia mathematica' to explain this filoso[phy..just relax ππDuuh kwani unawaza nini mkuu ebu funguka maana nahisi unamengi zaidi ya kutushirikisha tofauti na hiyo conclusion ulioiweka hapo
other races are just trying 'african experience'..possibly just for fun i guessKwahivyo waafrika tu ndio huwa wanashirikishwa kwenye riadha?
πits gonna take the another 'principia mathematica' to explain this filoso[phy..just relax ππ
For fun? C'mon, kuna wengi ambao huwa wanakimbia kwasababu wanapenda riadha. Ila kwenye 'elite races' na 'major marathons' karibia zote duniani zawadi kwa washindi wa nafasi za kwanza, kwa wanaume na wanake pia, huwa ni kitita cha $50,000 kuenda juu. Pamoja na 'bonuses' za zaidi ya $25,000 kwasababu ya muda, rekodi mpya n.k. Hivi unajua kati ya miaka ya 1920-1970 washindi wengi kwenye marathon kote duniani walikuwa ni wazungu kutoka nchi ya Finland?other races are just trying 'african experience'..possibly just for fun i guess
just to prove the contrary, walokua wakiuana pale roman Colosseum wengi walikua akina nani?For fun? C'mon, kuna wengi ambao huwa wanakimbia kwasababu wanapenda riadha. Ila kwenye 'elite races' na 'major marathons' karibia zote duniani zawadi kwa washindi wa nafasi za kwanza, kwa wanaume na wanake pia, huwa ni kitita cha $50,000 kuenda juu. Pamoja na 'bonuses' za zaidi ya $25,000 kwasababu ya muda, rekodi mpya n.k. Hivi unajua kati ya miaka ya 1920-1970 washindi wengi kwenye marathon kote duniani walikuwa ni wazungu kutoka nchi ya Finland?
Sasa hayo yanahusiana vipi na marathon, mbio za aina yeyote ile au hata riadha kwa ujumla?just to prove the contrary, walokua wakiuana pale roman Colosseum wengi walikua akina nani?
Nimeshangaa kuonaNasubiri kwa hamu ushindani baina ya Bekele na Kipchoge, umekua ukiahirishwa ila utafanyika tu, japo huwa nampigia debe Kipchoge ila namkubali sana Bekele, yuko vizuri sana jamaa yaani hata form yake wakati anakimbia huwa very relaxed.
Utakua ushindani usio wa kawaida na haujawahi kutokea.