Riadha zarejea kwa kishindo; Wakenya Helen, Faith na Cheruiyot wang'aa na kupeperusha bendera ya Kenya kwenye 2020 Diamond League Monaco, Ufaransa

Riadha zarejea kwa kishindo; Wakenya Helen, Faith na Cheruiyot wang'aa na kupeperusha bendera ya Kenya kwenye 2020 Diamond League Monaco, Ufaransa

Duuh kwani unawaza nini mkuu ebu funguka maana nahisi unamengi zaidi ya kutushirikisha tofauti na hiyo conclusion ulioiweka hapo
its gonna take the another 'principia mathematica' to explain this filoso[phy..just relax 😀😀
 
other races are just trying 'african experience'..possibly just for fun i guess
For fun? C'mon, kuna wengi ambao huwa wanakimbia kwasababu wanapenda riadha. Ila kwenye 'elite races' na 'major marathons' karibia zote duniani zawadi kwa washindi wa nafasi za kwanza, kwa wanaume na wanake pia, huwa ni kitita cha $50,000 kuenda juu. Pamoja na 'bonuses' za zaidi ya $25,000 kwasababu ya muda, rekodi mpya n.k. Hivi unajua kati ya miaka ya 1920-1970 washindi wengi kwenye marathon kote duniani walikuwa ni wazungu kutoka nchi ya Finland?
 
just to prove the contrary, walokua wakiuana pale roman Colosseum wengi walikua akina nani?
 
just to prove the contrary, walokua wakiuana pale roman Colosseum wengi walikua akina nani?
Sasa hayo yanahusiana vipi na marathon, mbio za aina yeyote ile au hata riadha kwa ujumla?
 
Nasubiri kwa hamu ushindani baina ya Bekele na Kipchoge, umekua ukiahirishwa ila utafanyika tu, japo huwa nampigia debe Kipchoge ila namkubali sana Bekele, yuko vizuri sana jamaa yaani hata form yake wakati anakimbia huwa very relaxed.
Utakua ushindani usio wa kawaida na haujawahi kutokea.

Nimeshangaa kuona
kwamba Bekele anapigiwa debe sana na eti Kipchoge ndiye atakayekuwa 'underdog' hiyo Oktoba 4. Itakuwa noma kweli kweli na inapendeza sana kwamba London Marathon mwaka huu itakuwa ni Kipchoge vs. Bekele, Kenya vs. Ethiopia. Kipchoge ameshinda London Marathon mara nne na yupo ngangari na ana imani kwamba atainyakua tena kwa mara ya tano. May the best athlete win. Eliud Kipchoge in 'good shape' for London Marathon
 
Back
Top Bottom