Riba ya heslb

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
7,687
Reaction score
2,240
Habari za muda huu great thinkers, kwa wanaoenda chuoni mwaka huu nimesikia habari ambazo sina uhakika nazo juu ya mkopo unaotolewa na bodi ya mkopo kwa wanafunzi wavyuo vikuu kwamba eti katika kurudisha wanatakiwa kurudisha na riba,kwa mwenye taarifa zozote juu ya suala hili basi tujulishane kwamba ni kweli na kiasi gani?ASANTENI.
 
Hakuna kitu kama hicho utakachotumia ndicho utakachokatwa! Manta hofu!
 
riba 8% na mshahara wako utakatwa 8% mpake deni liishe lote vyuo vya serikali unaweza ukadaiwa kama 14mill kwa kozi za miaka 3 eng/science kwa wengi------ tmia vizuri boom utajutaaa.source heslb.
 
Tumia bumu likuzoee,kimbembe ukianza kazi lzm walambe 8% ya salary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…