CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Habari za muda huu great thinkers, kwa wanaoenda chuoni mwaka huu nimesikia habari ambazo sina uhakika nazo juu ya mkopo unaotolewa na bodi ya mkopo kwa wanafunzi wavyuo vikuu kwamba eti katika kurudisha wanatakiwa kurudisha na riba,kwa mwenye taarifa zozote juu ya suala hili basi tujulishane kwamba ni kweli na kiasi gani?ASANTENI.