Riba ya mikopo benki itashuka lini?

Riba ya mikopo benki itashuka lini?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
 
🤣 🤣 🤣
 
Wakuu, naomba kujua riba ya kukopa Tanzania Commercial Bank (TCB) (zamani Tanzania Postal Bank, TPB).
 
Nmb wanatoa 10% lakin kwenye kilimo.

Tulikubaliana hii ni inji ya wakulima.

Nyinyi wafanyabiashara mnaujanjaujanja mwingi endeleeni kulipa hizo 18%.

Kilimo kwanza.
 
Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
Subiri 2035
 
ccm itakapofulushwa contrary to that sahau
 
Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
Mkuu Riba ni negotiable kulingana na uwezo wa kulipa pamoja na risk factor.Ukienda benki na kuongea nao vizuri wanaweza kutenda muujiza.Unataka kiasi gani cha pesa,kwa muda gani na kwa riba kiasi gani ili tuangalie kama benki inaweza kukusikiliza?
 
Uko benki gani mkuu?
Makato ya laki 3.5 kwa mwezi kwa miaka 7 mnanipa kiasi gani?
 
Huo ni mkopo wa mlaji,Riba yake lazima iwe kubwa kote duniani.Consumer loans ni tofauti na Commercial loans.Riba ya mkopo lazima itoe faida ambayo inaweza kulipa gharama za kuendesha na kusimamia mkopo.Consumer loans lazima ziwe na Riba kubwa na serikali haijalenga kupunguza riba za consumer loans bali ni commercial loans.
 
Back
Top Bottom