🤣 🤣 🤣Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
Subiri 2035Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
Hakika nimekata tamaa, jumatatu nimezunguka benki 4, kila tawi ninaloingia naingia na sura ya matumaini natoka na sura ya kukata tamaasamia ana maneno matamu ila matupu.
ccm itakapofulushwa contrary to that sahauNimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
Mkuu Riba ni negotiable kulingana na uwezo wa kulipa pamoja na risk factor.Ukienda benki na kuongea nao vizuri wanaweza kutenda muujiza.Unataka kiasi gani cha pesa,kwa muda gani na kwa riba kiasi gani ili tuangalie kama benki inaweza kukusikiliza?Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
Kuna mbegu nimeipata inatoa gunia 35 kwa eka. Nitarudisha kwa wakatiKopa tuuze nyumba hio
Hahahaha wakati umepata mbegu ukumbuke kuna kijicho cha mashambani kile😅Kuna mbegu nimeipata inatoa gunia 35 kwa eka. Nitarudisha kwa wakati
Uko benki gani mkuu?Mkuu Riba ni negotiable kulingana na uwezo wa kulipa pamoja na risk factor.Ukienda benki na kuongea nao vizuri wanaweza kutenda muujiza.Unataka kiasi gani cha pesa,kwa muda gani na kwa riba kiasi gani ili tuangalie kama benki inaweza kukusikiliza?
Nikweli 10% ?Nmb wanatoa 10% lakin kwenye kilimo.
Tulikubaliana hii ni inji ya wakulima.
Nyinyi wafanyabiashara mnaujanjaujanja mwingi endeleeni kulipa hizo 18%.
Kilimo kwanza.
Huo ni mkopo wa mlaji,Riba yake lazima iwe kubwa kote duniani.Consumer loans ni tofauti na Commercial loans.Riba ya mkopo lazima itoe faida ambayo inaweza kulipa gharama za kuendesha na kusimamia mkopo.Consumer loans lazima ziwe na Riba kubwa na serikali haijalenga kupunguza riba za consumer loans bali ni commercial loans.Uko benki gani mkuu?
Makato ya laki 3.5 kwa mwezi kwa miaka 7 mnanipa kiasi gani?