Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo mkopo ila mimi nimempa mtu milion 2 then yeye ananipa riba kila mwenzi na huwa ananitumia elfu sitini kwa mwenzi kama riba na zile m2 ziko palepale. Sasa nilitaka kujua kama ni sawa maana ni sawa na milion moja ananipa elfu thelathini kwa mwezi,,,
Jamani kwa anayejua mambo ya riba naomba anijuze
mimi nimechukua mkopo binafsi mil 2 finca riba ni asilimia 3 kwa mwezi. Nafanya rejesho la 393350.kwa mwezi.
Siyo mkopo ila mimi nimempa mtu milion 2 then yeye ananipa riba kila mwenzi na huwa ananitumia elfu sitini kwa mwenzi kama riba na zile m2 ziko palepale. Sasa nilitaka kujua kama ni sawa maana ni sawa na milion moja ananipa elfu thelathini kwa mwezi,,,
Hiyo ni sawa na riba ya 3% kwa mwezi (flat rate). Yaani Tsh 2,000,000 (mkopo) mara 3% (riba) mara mwezi mmoja = Tsh 60,000 (riba ya kila mwezi).Jamani kwa anayejua mambo ya riba naomba anijuze
Riba ya asilimia 30 katika milioni 2 ni sawa na shilingi ngapi?Aise..kuna kipindi nilikuwa nahitaji mkopo kuweka mambo sawa...nikaenda kwa hawa jamaa wanaokopesha...ebana unaambiwa ukikopa kiasi fulani say 2M kwa riba ya 30%, mrejesho wa kwanza utatakiwa kulipa kiwango ambacho hakipungui hyo riba ya 30% na kiwango kitakachobaki pia kitakuwa-calculated kwa riba ya 30% tena...so unawezakujikuta unalipa hela nyingi sana kwa mtindo huu...nilisepa nikaona bora nikaungeunge kwa jamaa na marafiki.
393350 ndio asilimia 3 kwa mwezi?mimi nimechukua mkopo binafsi mil 2 finca riba ni asilimia 3 kwa mwezi. Nafanya rejesho la 393350.kwa mwezi.