Riba za Banks - Usahihi


Is the quran "an undisputed source of guidance"?

Do you even know what that means?
 
Is the quran "an undisputed source of guidance"?

Do you even know what that means?
Naam. Na kama si quran kitabu gani tena kitawaongoza watu kumuelekea na kumuabudu mola wao zaidi ya hii quran.

LAKINI ikatae kwa sababu hizi hapa chini.

Al-Baqarah: 2
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيم
1. Alif Laam Miym.
2. Hiki ni Kitabu kisicho na shaka, ndani yake ni hidaaya kwa wenye taqwa.
3. Ambao huamini ya ghayb na husimamisha Swalaah na katika vile Tulivyowaruzuku hutoa.
4. Na ambao huamini yaliyoteremshwa kwako (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسل&#1605😉 na yale yaliyoteremshwa kabla yako na ni wenye yakini na Aakhirah.
5. Hao wako juu ya hidaaya kutoka kwa Mola wao, na hao ndio wenye kufaulu.
6. Hakika wale waliokufuru ni sawa kwao, ukiwaonya au usiwaonye wao hawatoamini.
7. Allaah Amepiga mhuri juu ya nyoyo zao, na juu ya masikio yao; na juu ya macho yao pana kifuniko; na watapata adhabu kuu.
 

First thing first.

Do you understand what does "an undisputed source of guidance" mean?

Au unabwabwaja tu hata hujaelewa?
 
Inaonekana kama hawa waislamu wanabadilisha majina na kuacha kitu kile kile kama wauza fedha wa Wall St.

Unless someone actually differentiate the two.
Naam. maneno ya Allah yatabaki kuwa hai hadi siku ya hukumu.

“Hayo ni kwa kuwa wamesema: Biashara ni kama riba. Lakini Allaah Ameihalalisha biashara na Ameiharimisha riba” (al-Baqarah 2: 275).

Nakushauri waulize wasomi wakiislamu sio kucomment tu humu jukwaani....
 
Is the quran "an undisputed source of guidance"?

Do you even know what that means?
Naam. Quran ni uongofu kaka, haina shaka.

"Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiyekuwa Allah bila ya shaka wangelikuta ndani yake hitilafu nyingi" Suratun Nisaa' (4) Ayah ya 8
 
Islamic banking systems ndo solutions kwa dhulma hii,,,, jaribu kuona bank za kiislam ... you must understand Riba ni kharam

naomba unitajie hizo islamic banking na masharti yake kama unayajua.
 
naomba unitajie hizo islamic banking na masharti yake kama unayajua.


Kuna moja ya zanzibar jina sijalikariri vyema,, na Amana Bank iko pale kariakoo,, na zingine zina islamic wing kama NBC, stanbick bank, watembelee hawa na uwaulize benk zingine zenye islamic banking,,, watu wengi wanaziogopa kwa sababu ya kutojua ta msukumo wa chuki za kidini... lakini pia mashart yao ya partnership yaani wao wanatoa pesa wewe unatoa wazo,, kama ni biashara ya mitambo wao wananunua mitambo inakuwa kwa jina lao then mnagawana faida baada ya hapo mita,mbo inakuwa yako,,, wewe nenda utayajua mengi then uje utupe mrejesho .,, ningekuwa nchini ningelifanya hili for you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…