Riba za Banks - Usahihi

Riba za Banks - Usahihi

Riba ni dhambi kubwa,,,mfumo huu umeletwa mahsusi kuwakosanisa watu na mola wao... ni mfumo wa samaki mkubwa kumla mdogo... kwa hapa kwetu angalia sana akina mama wanaochukua mikopo wanavyopata shida wenye makampuni wanatajirika lakini akina mama hawa miaka nenda miaka rudi hali zao ziko duni tu...riba ni dhulma. islamic banking ndio suluhisho.. midle east has nchi za kiislam hakuna kitu kama ribba,,, maana kwa mafundisho ya dini yetu tunajua kuwa ni kharam. llah swt states in Quran:يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَأْكُلُواْ الرِّبَا أَضْعَافًا مُّضَاعَفَةً وَاتَّقُواْ اللّهَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

3:130 O you who have believed, do not consume usury, doubled and multiplied, but fear Allah that you may be successful.
وَأَحَلَّ اللّهُ الْبَيْعَ وَحَرَّمَ الرِّبَا
2:175 Allah has permitted trade and has forbidden interest
The Prophet Mohammad, may Allah’s mercy and peace be upon` him, said in his farewell sermon: “God has forbidden you to take Riba, therefore all riba obligation shall henceforth be waived. Your capital, however, is yours to keep. You will neither inflict nor suffer inequity. God has judged that there shall be no riba and that all the riba due to `Abbas ibn `Abd al Muttalib shall henceforth be waived.”[SUP][3][/SUP]
Quran explicitly prohibits Riba, and since Quran is an undisputed source of guidance, all Muslims unanimously agrees on prohibition of Riba. There is no difference of opinion among any school of thought on prohibition of Riba in Islamic Shariah.

Is the quran "an undisputed source of guidance"?

Do you even know what that means?
 
Is the quran "an undisputed source of guidance"?

Do you even know what that means?
Naam. Na kama si quran kitabu gani tena kitawaongoza watu kumuelekea na kumuabudu mola wao zaidi ya hii quran.

LAKINI ikatae kwa sababu hizi hapa chini.

Al-Baqarah: 2
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيم
1. Alif Laam Miym.
2. Hiki ni Kitabu kisicho na shaka, ndani yake ni hidaaya kwa wenye taqwa.
3. Ambao huamini ya ghayb na husimamisha Swalaah na katika vile Tulivyowaruzuku hutoa.
4. Na ambao huamini yaliyoteremshwa kwako (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسل&#1605😉 na yale yaliyoteremshwa kabla yako na ni wenye yakini na Aakhirah.
5. Hao wako juu ya hidaaya kutoka kwa Mola wao, na hao ndio wenye kufaulu.
6. Hakika wale waliokufuru ni sawa kwao, ukiwaonya au usiwaonye wao hawatoamini.
7. Allaah Amepiga mhuri juu ya nyoyo zao, na juu ya masikio yao; na juu ya macho yao pana kifuniko; na watapata adhabu kuu.
 
First thing first.

Do you understand what does "an undisputed source of guidance" mean?

Au unabwabwaja tu hata hujaelewa?
 
Inaonekana kama hawa waislamu wanabadilisha majina na kuacha kitu kile kile kama wauza fedha wa Wall St.

Unless someone actually differentiate the two.
Naam. maneno ya Allah yatabaki kuwa hai hadi siku ya hukumu.

“Hayo ni kwa kuwa wamesema: Biashara ni kama riba. Lakini Allaah Ameihalalisha biashara na Ameiharimisha riba” (al-Baqarah 2: 275).

Nakushauri waulize wasomi wakiislamu sio kucomment tu humu jukwaani....
 
Is the quran "an undisputed source of guidance"?

Do you even know what that means?
Naam. Quran ni uongofu kaka, haina shaka.

"Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiyekuwa Allah bila ya shaka wangelikuta ndani yake hitilafu nyingi" Suratun Nisaa' (4) Ayah ya 8
 
Islamic banking systems ndo solutions kwa dhulma hii,,,, jaribu kuona bank za kiislam ... you must understand Riba ni kharam

naomba unitajie hizo islamic banking na masharti yake kama unayajua.
 
naomba unitajie hizo islamic banking na masharti yake kama unayajua.

Kuna moja ya zanzibar jina sijalikariri vyema,, na Amana Bank iko pale kariakoo,, na zingine zina islamic wing kama NBC, stanbick bank, watembelee hawa na uwaulize benk zingine zenye islamic banking,,, watu wengi wanaziogopa kwa sababu ya kutojua ta msukumo wa chuki za kidini... lakini pia mashart yao ya partnership yaani wao wanatoa pesa wewe unatoa wazo,, kama ni biashara ya mitambo wao wananunua mitambo inakuwa kwa jina lao then mnagawana faida baada ya hapo mita,mbo inakuwa yako,,, wewe nenda utayajua mengi then uje utupe mrejesho .,, ningekuwa nchini ningelifanya hili for you
 
Back
Top Bottom