Du Yani kwa miaka unalipa zaidi ya m 15,mh hiyo ni too much.Mfano me nilichukua mil 10 nakatwa 253,000 kws miaka mitano mkuu so kwenye mkataba inaonekana mwanzo mwenga,ila crdb is the best kwa wote
Utarudiaha milion 21 na chench zakeHiyo 18% ni magumashi, mi naonaga inakuja 50% yaani ukichukua mkopo 12m jiandae kurudisha jumla 18m
Mbona marejesho yake ni makubwa sana,karibia deni na riba mpaka kwisha ni takribani Milioni 30,360,000Mfano me nilichukua mil 10 nakatwa 253,000 kws miaka mitano mkuu so kwenye mkataba inaonekana mwanzo mwenga,ila crdb is the best kwa wote
Kudadadadeki kukopa pasua kichwaKwa hiyo kiuhalisia unarufisha mara mbili ya hela uliyochukua
Napata wakati mgumu kuelewa, hizi bank ukienda kuuliza riba ya mkop wa kias flan ni sh ngap.. Wanakujibu kwamba ukichukua kiasi flan let say 13m rejesho lake ni kiasi flan.... Bila kukuambia actual riba. Sasa naomba wenye ufaham zaid kwenye hii issue.
Basi bora NMB coz me nilichukua 10m wananikata 222444Mfano me nilichukua mil 10 nakatwa 253,000 kws miaka mitano mkuu so kwenye mkataba inaonekana mwanzo mwenga,ila crdb is the best kwa wote
Tusichanganye mambo, sio wote wanaamini katika hiyo Quran tukufu, wapo wanaoamini Biblia pia na wengine hawaamini kati ya hivyo vyote, ko acheni mambo ya kaisari yaende kama yalivyopangwa, na ya Mungu yaenende kulingana na miongozo yakeRIBA KATIKA UISLAM
Kwa mujibu wa Qur’an tukufu, kuchukua riba ni dhambi ambalo linasababisha adhabu kali kabisa kutoka kwa Allah swt. Adhabu za kuchukua na kutoza riba ni kali kabisa kuliko madhambi mengine. Kama ilivyoelezwa katika Surah Aali Imran, 3, : 130 - 131:
‘Enyi Mlioamini! Msile riba, mkizidisha mara dufu kwa mara dufu; na mcheni Allah ili muweze kuwa na ufanisi’
‘Na ogopeni moto wa Jahannam ambao umetayarishiwa makafiri.’
Inamaanisha kuwa ukali wa moto ambao umetayarishwa kwa ajili ya wale ambao huchukua riba kama vile moto utakavyokuwa mkali kwa ajili ya makafiri.
Allah swt anatuambia katika Surah al Baqarah, 2, Ayah ya 275 :
‘ Wale wanaokula riba, hawasimami ila kama anavyosimama yule ambaye Shaitani kamzuga kwa kumsawaa; na haya ni kwa sababu wamesema, ‘biashara ni kama riba’, Allah ameihalalisha biashara na kaiharamisha riba. N a aliyefikiwa na mauidha kutoka kwa Mola wake, kishaakajizuia, basi yamekwisha mthibitikia yale (mali) aliyoipata; na hukumu yake iko kwa Allah. Lakini wanaorejea (kula riba) basi hao ndio watu wa Motoni, humo watakaa milele.
Kwa hiyo kiuhalisia unarufisha mara mbili ya hela uliyochukua
ahahah watatuuua asa mbna wananufaika waoMkuu 17% gawanya kwa 12 annually=1.4 ambayo ni monthly. Sasa ukiaza ku calculate mfano umechukua 12m kwa mda 5yrs 12,000,000 x 12/100 =168000 riba ya kwa mwezi. Sasa chukua 12000000/5=2400,000/12=200,000. So riba kwa mwez inakua 200,000 +168000=368,000. Sasa chukua hii hela mara miez 60 kwa maana ya miaka 5. Twende, 368,000 x 60 =22,080,000/=. Jamani si ndo hivi au mm nakosea.
Napata wakati mgumu kuelewa, hizi bank ukienda kuuliza riba ya mkop wa kias flan ni sh ngap.. Wanakujibu kwamba ukichukua kiasi flan let say 13m rejesho lake ni kiasi flan.... Bila kukuambia actual riba. Sasa naomba wenye ufaham zaid kwenye hii issue.
Mkuu inaonekana haya mambo unayajua Jua.Mkuu 17% gawanya kwa 12 annually=1.4 ambayo ni monthly. Sasa ukiaza ku calculate mfano umechukua 12m kwa mda 5yrs 12,000,000 x 12/100 =168000 riba ya kwa mwezi. Sasa chukua 12000000/5=2400,000/12=200,000. So riba kwa mwez inakua 200,000 +168000=368,000. Sasa chukua hii hela mara miez 60 kwa maana ya miaka 5. Twende, 368,000 x 60 =22,080,000/=. Jamani si ndo hivi au mm nakosea.
Hiyo mil10 unayodaiwa ni pamoja na riba ya miaka iliyobaki lets say 3yrs. Ukitaka kufuta mkopo riba inaondolewa unalipa japo wana penalty ya 5%/6% ya kiasi bila riba.Mkuu inaonekana haya mambo unayajua Jua.
Naomba kuuliza let's say umekopa milioni 13.5 unalipa miaka sita.(Miezi 72) Rejesho Kwa mwezi ni 308000.Ukawa umerejesha miaka miwili na nusu (Miezi 30) ambayo ni 9.24m.Sasa Kwa bahati nzuri ukataka kulipa deni lako au kukomboa mkopo wako.Ukaomba wakuangalizie deni lako( Balance) ili ulipe.Unakuta unadaiwa milioni 10.
Hapa naomba kuuliza mbona deni halipungui haraka? Ina maana miaka ya mwanzo unaanza kulipa Riba tu then badaye na mkopo wenyewe.Hesabu ipoje hapo?
nakatwa 270, ABC wamenipa 8Mfano me nilichukua mil 10 nakatwa 253,000 kws miaka mitano mkuu so kwenye mkataba inaonekana mwanzo mwenga,ila crdb is the best kwa wote
BancABC hao riba zao balaa, jamaa alikopa milioni 5.4 kwa miaka 6 kwa makato ya 191760 kila mwezi ambapo hapo ukizidisha pesa ya mwezi anayokatwa na muda wa miaka 6 ni Tsh million 13 na laki nane yani ni zaidi ya mkopo Mara mbili.nakatwa 270, ABC wamenipa 8