Riba za Tigo Nivushe ni kubwa sana

Riba za Tigo Nivushe ni kubwa sana

Msipende kukopa jitahidini sana kuweka akiba kile kidogo unachopata, usiizoeshe akili yako kukopa kwasababu unajua sehemu fulani wanakopesha, ni utumwa na utailemaza akili yako, wekeza akili yako kwenye kuweka akiba, hata kama ni kiasi kdg, wekeza hivyo hivyo, hizo riba mnazowalipa ndio ingetakiwa iwe akiba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwa na mpango huo wa kujiwekea akiba lakini ikafika siku kabanwa sana na shida unashauri afanyeje?
 
[emoji16][emoji16][emoji16]ongeza JUHUDI..
Mimi hyo laki 4 nimeshindwa kulipa.ila nikilipa wananiongeza
Dah,kumbe wanatoa Hadi laki 4,sahivi napewa elfu 30, ikifika laki nne natafuna SIM card na hi simu Nampa mtoto awe anachezea game
 
Voda nadaiwa kama laki 4,airtel nadaiwa timiza kama laki na 80,sijui nichukue na hii tigo?nb sijawahi kulipa deni
 
Back
Top Bottom