Msipende kukopa jitahidini sana kuweka akiba kile kidogo unachopata, usiizoeshe akili yako kukopa kwasababu unajua sehemu fulani wanakopesha, ni utumwa na utailemaza akili yako, wekeza akili yako kwenye kuweka akiba, hata kama ni kiasi kdg, wekeza hivyo hivyo, hizo riba mnazowalipa ndio ingetakiwa iwe akiba yako.
Sent using
Jamii Forums mobile app