Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ndio Mkuu hata Mimi namkubali sana.Canavaro huyu wa Yanga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Mkuu hata Mimi namkubali sana.Canavaro huyu wa Yanga!
Mwingereza gani anaweza ziba nafasi yeyote hapo na kwa nani? Tuwe serious kidogo basihakuna muingereza hata mmoja
Siku nyingine uwe unasoma vizuri kabla hujachangiambona kajaza wahenga wenziwe tu?
Sasa kama yanajua kumchezea mnyama mfu sisi tufanyeje? Ni haki yao aisee!!Wabrazil wabaguzi mno.
hakuna muingereza hata mmoja
Hizo namba tu wewKikosi chake kibovu inesta acheze 6 duh!
Wabaguz wapi ww... Watu wanaujua ...ulitaka amuweke tomas muller au giroud sioSio hivyo tu mkuu. Amewaweka wengi wa bara lake. While hawakustahili kabisa Wabrazil wabaguzi mno. Kama ni mtihani kishafeli.
Sio wabaguz .....wanaujua ....ulitaka amuweke giroud sioWabrazil wabaguzi mno.
Mkuu acha utani,kwani hujamuona Nadil cannavaro 'mzanzibari'?mbona waafrika hawapo
HakikaYuko vizuri namkubali