rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Upo sahihi Rui Costa alikuwa mmoja wa wachezaji wa Aina yake Ila kuchezea timu Kama fiorentina kulichelewesha umahiri wake kuvuma ndio maana kwenye mechi ngumu za Milan ilikuwa lazima wamwanzishe.Kuna game vs arsenal, alikamatwa vibaya mnoo.
Ricardo Ernesto almangungule kaka kibraza. Alikuwa fundi sana.
Lakini kusema kuzima ndoto ya rui costa si kweli, kaka alienda pale kama mrithi wa rui costa, sababu kaka anaenda milan mwaka 2003 rui costa tayari ana miaka 32 kama sikosei, tofauti ya kaka na rui costa kiumri ni kama miaka 10 hivi.
Rui costa tayari alikuwa ukingoni mwa carrer yake ya soka.