Ricardo Kaka: Mlokole safi aliezima ndoto na ufalme wa Manuel Rui Costa pale Milan

Upo sahihi Rui Costa alikuwa mmoja wa wachezaji wa Aina yake Ila kuchezea timu Kama fiorentina kulichelewesha umahiri wake kuvuma ndio maana kwenye mechi ngumu za Milan ilikuwa lazima wamwanzishe.
 
Alichowafanya Gabriel Heinze na Patrice Evra Pale OT kwenye ile 16 bora mungu anamuona, waliishia kuvaana wenyewe.
Ndio ile wanasema "Yesu akapita katikati akaenda zake akawaacha wakilumbana"
Sura ya upole roho ya kikatili...ebwana zamani mpira ulikua na mzuka sana yaani talent tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…