Ricardo Momo anaondoka Wasafi Sports Arena? Watu tunasikiliza kipindi hicho kisa 'Zandanii'. Tafadhari kaeni mezani

Mnaojua Kiingereza vyema akina Leejay49, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume tutafsirieni basi Sisi tusiojua tuelewe Ok?
Ricardo Momo ametangaza kuachana na wasafi . Kisa awaoni thamani yake . Issue tulimpiga spana humu . Mwezi unakata kwenye kipindi hayupo . Kipindi chake hata kwa simu anafanya but afanyi hivyo . yupo very inconsistent . Kama Ataki vile . Anapoteza advertising revenues za ofisi . Watu wanataka kuweka hela kwake . And he not available.
 
Football rumors are for straight men . Wanawake Kama nyie bakini kwa Kimambi .
Kama unamjua hadi Kimambi basi ni mteja wake wa kudumu. Sio kila mpenda mpira ni mpenda umbea. Sisi wengine mpira tunapenda kuwasikiliza manguli wanaojua kuelezea technical & tactics za mechi husika. Hivi aliyekudanga kuwa Gamondi atatangazwa na Kaizer chief Jumatano ndio huyo mbea wako Momo au unawambea wengi?
Jumatano mbili zimeshapita mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…