Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
- #21
Ricardo Momo ametangaza kuachana na wasafi . Kisa awaoni thamani yake . Issue tulimpiga spana humu . Mwezi unakata kwenye kipindi hayupo . Kipindi chake hata kwa simu anafanya but afanyi hivyo . yupo very inconsistent . Kama Ataki vile . Anapoteza advertising revenues za ofisi . Watu wanataka kuweka hela kwake . And he not available.Mnaojua Kiingereza vyema akina Leejay49, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume tutafsirieni basi Sisi tusiojua tuelewe Ok?