Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Jinsi unavyopoteza muda kujaribu kuelewa ndivyo hutoelewa, we wasikilize burudika hata usitafakari wanachokisema maana huwezi kuelewa hata kidogo. Ni mwendo wa kukubaliana nao tu. Hata wakisema Diamond siyo mtoto wa Bi Sandra bali ni mtoto wa Zari we kubali tu hata huzijisumbue kutafakari.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji109]Jinsi unavyopoteza muda kujaribu kuelewa ndivyo hutoelewa, we wasikilize burudika hata usitafakari wanachokisema maana huwezi kuelewa hata kidogo. Ni mwendo wa kukubaliana nao tu. Hata wakisema Diamond siyo mtoto wa Bi Sandra bali ni mtoto wa Zari we kubali tu hata huzijisumbue kutafakari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwishoni kabisa tunaweza kuambiwa Diamond ni mtoto kabisa wa Ancle Shamte. Ndo tutajua hatujui
Hao ni ndugu kabisaRicardo Momo ukiachana na kukanusha tuhuma za mkewe kutembea na msizwa huku hata demeanor ya mkewe ikionesha tuhuma za Esma zina ukweli, hili la kuwa ndugu wa diamond ni funiko bovu.
Sijui kwanini huyu Ricardo ni muongo na anapenda kujisifia. Leo anasema diamond platnumz ni ndugu yake wakati mwaka mmoja uliopita alieleza jinsi alivyokutana na diamond kariakoo na kueleza story tofauti kabisa na ya leo. Sijajua kwanini wanadanganya ni kiki? Au kuzima madongo ya Harmonize? Au kuzima interview ya esma? Au tunawasha na tigo dar?
Msikilize hapa Ricardo Momo akiongea alivyokutana na diamond platnumz kariakoo mwaka mmoja uliopita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sahihi mkuu.Jinsi unavyopoteza muda kujaribu kuelewa ndivyo hutoelewa, we wasikilize burudika hata usitafakari wanachokisema maana huwezi kuelewa hata kidogo. Ni mwendo wa kukubaliana nao tu. Hata wakisema Diamond siyo mtoto wa Bi Sandra bali ni mtoto wa Zari we kubali tu hata husijisumbue kutafakari.