Ricardo Momo, kati ya “story” zako mbili ipi ya ukweli?

Ricardo Momo ukiachana na kukanusha tuhuma za mkewe kutembea na msizwa huku hata demeanor ya mkewe ikionesha tuhuma za Esma zina ukweli, hili la kuwa ndugu wa diamond ni funiko bovu.

Sijui kwanini huyu Ricardo ni muongo na anapenda kujisifia. Leo anasema diamond platnumz ni ndugu yake wakati mwaka mmoja uliopita alieleza jinsi alivyokutana na diamond kariakoo na kueleza story tofauti kabisa na ya leo. Sijajua kwanini wanadanganya ni kiki? Au kuzima madongo ya Harmonize? Au kuzima interview ya esma? Au tunawasha na tigo dar?

Msikilize hapa Ricardo Momo akiongea alivyokutana na diamond platnumz kariakoo mwaka mmoja uliopita

Tujiulize kitu kimoja kwanini Ricado aliwahi kuulizwa sana kuhusu Mondi kuliko watangazaji wengine pale wasafi media?

Kuna vitu lazima tuvitazame kwa makini

View attachment 1679323
 
Ricardo Momo ukiachana na kukanusha tuhuma za mkewe kutembea na msizwa huku hata demeanor ya mkewe ikionesha tuhuma za Esma zina ukweli, hili la kuwa ndugu wa diamond ni funiko bovu.

Sijui kwanini huyu Ricardo ni muongo na anapenda kujisifia. Leo anasema diamond platnumz ni ndugu yake wakati mwaka mmoja uliopita alieleza jinsi alivyokutana na diamond kariakoo na kueleza story tofauti kabisa na ya leo. Sijajua kwanini wanadanganya ni kiki? Au kuzima madongo ya Harmonize? Au kuzima interview ya esma? Au tunawasha na tigo dar?

Msikilize hapa Ricardo Momo akiongea alivyokutana na diamond platnumz kariakoo mwaka mmoja uliopita

Habari ga 2012
JamiiForums-800310243.jpg
 
Daaaaa...Ricardo momo yan jamaa mtu wa dini zen anatumika kutudanganya watz mchana kweupe.

Anajitahidi kwenye dini ila kwa mke wake bado mtihani anao maana anamuachia sana hasa suala la mavazi.
 
Hivi ni kwa nini vijana wa kiislam hupenda kubadili majina yao yaonekane ya kizungu?
1.Naseeb .......Platnums
2......Ricardo

3.Shaban....Sheby do

4.Ramadhani......Ramsoy

5.Jummane...Jayfour

6.Omari......Omyguy
 
Msizwa atakuwa kamtomba kweli huyo malaika .

Bwana momo atulie kaoa dampo
 
Hivi ni kwa nini vijana wa kiislam hupenda kubadili majina yao yaonekane ya kizungu?
1.Naseeb .......Platnums
2......Ricardo

3.Shaban....Sheby do

4.Ramadhani......Ramsoy

5.Jummane...Jayfour

6.Omari......Omyguy
Ukiona hivyo hawaendani na uislam wenyewe ndio kugeuza jina ndio bora kwao
 
Diamond ni mtoto wa Anko Shamte. Sasa unashangaa nn, mume wa mama yako si ni babako.Au nasema uongo ndugu zangu.
 
Hivi ni kwa nini vijana wa kiislam hupenda kubadili majina yao yaonekane ya kizungu?
1.Naseeb .......Platnums
2......Ricardo

3.Shaban....Sheby do

4.Ramadhani......Ramsoy

5.Jummane...Jayfour

6.Omari......Omyguy
"Ujana una mambo mengi,inafikia kipindi unaweza kugombana hataa na dingi" - Afande sele
 
Back
Top Bottom