Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Tujiulize kitu kimoja kwanini Ricado aliwahi kuulizwa sana kuhusu Mondi kuliko watangazaji wengine pale wasafi media?Ricardo Momo ukiachana na kukanusha tuhuma za mkewe kutembea na msizwa huku hata demeanor ya mkewe ikionesha tuhuma za Esma zina ukweli, hili la kuwa ndugu wa diamond ni funiko bovu.
Sijui kwanini huyu Ricardo ni muongo na anapenda kujisifia. Leo anasema diamond platnumz ni ndugu yake wakati mwaka mmoja uliopita alieleza jinsi alivyokutana na diamond kariakoo na kueleza story tofauti kabisa na ya leo. Sijajua kwanini wanadanganya ni kiki? Au kuzima madongo ya Harmonize? Au kuzima interview ya esma? Au tunawasha na tigo dar?
Msikilize hapa Ricardo Momo akiongea alivyokutana na diamond platnumz kariakoo mwaka mmoja uliopita
Kuna vitu lazima tuvitazame kwa makini
Ishu ya baba wa msanii Diamond gazeti la ijumaa lililipoti 2012
ojs entertainments We do Post entertainment newz in this blog, your welcome JUL 16 BABA WA DIAMOND MAPYA YAIBUKA SIKU chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnum’, mzee Abdul Juma kufunguka kuwa mwanaye huyo hamthamini toka amepata...
View attachment 1679323