SOLD: Rice cooker 1.8L ipo sokoni Tsh 30,000/-

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Hili dude nilikuwa naweza kupikia kila kitu kasoro UGALI TU. KWA SABABU UGALI unahusisha kusonga. Wakati niko single.

Lipo sokoni kwa sasa sina matumizi nalo... NIMEOA. VERY STRONG.

BEI KITONGA CHA 30,000/- Nipo Tegeta Wazo Hill...mawasiliano njoo PM nikuletee.

 
Sasa kaka mkubwa kwani shemeji yetu ye hataki kupikia hili?
Mwenyewe atumia mkaa sana na gesi...sasa muda mwingi hakitumiki...nikaona hili halina matumizi sana kwa sasa...
 
Unaweza kupikia nini na nini?
 
Hili dude nilikuwa naweza kupikia kila kitu kasoro UGALI TU. KWA SABABU UGALI unahusisha kusonga. Wakati niko single.....
Mkuu next time usikwangue kwa kijiko hivyo visufuria vyenye black coated ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…