NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Kwanini mnapenda kushauri kila kitu, Mtu hata kama kaishiwa unataka aseme hapa.Tumieni hekima mkikosa tumieni busara la basi akili.Vinginevyo nyamazeni kimya.Umeoa ndo huna matumizi nalo? Huwa sipendi mtu anayeuza uza vitu vidogo kama hivi bila sababu maalum
Weka utampa hata ndugu alitumie
Anauza ebooKama ni kila kitu si ubaki nalo mwenyewe mkeo atumie
Kuna ile hali mtu anasema hataki kupitwa kila post acomment...Anauza eboo
Usitupangie sasa! Akiishiwa aseme kwani kuishiwa ni ulemavu?Kwanini mnapenda kushauri kila kitu, Mtu hata kama kaishiwa unataka aseme hapa.Tumieni hekima mkikosa tumieni busara la basi akili.Vinginevyo nyamazeni kimya.
HahahahWazee wa Kuzoom
Kumbe hupendi kupangiwa mbona uumeanza wewe kupangia.Usitupangie sasa! Akiishiwa aseme kwani kuishiwa ni ulemavu?
Unaweza changia kila post ndio, ila wachague vya kusema.Yaani mtu haajui kama ana ndugu.Kuna ile hali mtu anasema hataki kupitwa kila post acomment...