Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Mmh tusiwachukie wazungu wakituita waafrika ni nyani..tuna kila nasaba za kinyani nyani.
 
Hivi Tz naruhusiwa kuchoma hela, ama kuifukia kaburini kama hivo?.. Nilishawahi sikia ni kosa la jinai.
 
Nilisikitika sana kwakifo chake lkini kwa hili nimejisikia vibaya sana asee.
 
Uwe tajiri uwe maskini siku ya umauti wote tutafanana.
 
Hovyooooo hizo hela mbona zimeshindwa kumponya?

Hao madon walikuwa wateja wake wa ndumba ili wasikamatwe kwenye biashara zao chafu
 
Hivyo Uganda hakuna Serikali? Hao wote waliomwaga fedha kaburini walipaswa kukamatwa na kushtakiwa mahakamani. Hili ni kosa la jinai. Ni sawa na kuchana fedha hadharani. Maana yake umeziondoa fedha ya serikali katika mzunguko halali wa kiuchumi
Unajuaa Sheria ya uganda au unaongea tu? Kosa la jinai nani amekwambia? Kila nchi ina mipaka yake ya sheria kuhusu fedha,
sasa usifanishe Uganda na TZ
 
Sure
 
Hata kama ni freemason, hebu niungeni tu,
si nikifa watoto wangu watabaki na hela jamani;
acheni roho mbaya.
 
Utan mwingine mkirudishiwa jibu mnapanic
Aha ahsante kwa link,nishamfahamu vizuri bwana marehemu.sasa chukua kiroba uendelee kunywa ntalipa nikija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…