Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Hiyo rich gang ya Ug ina uhusiano na Rich Gang ya Birdman wa Cash Money ?
 
Aaa bwana wewe wengine wanalala nja lakini wengine wanazika fedha,yote anayajua Mungu
 
Mbona hiyo kawaida kwa wafrika limbukeni wa vitu Wenzetu hawanaga ujinga km huo
 
Hizo mbwembwe tu ila adhabu ya kaburi aijuae maiti haijalishi linathamani kiasi gani.
 
desturi ya waganda na jirani zao wahaya haina tofauti.watu wa show off sana,majivuno sana lakini la mwisho ninalowapendea ni matanuzi yao.

mhaya au mganda (kwa msomi na asiye msomi) kama ana pesa ya kutosha,huwa hajifichi linapofika suala la matanuzi.

atahakikisha bata anazokula lazima ziache gumzo.
 
Hiyo ni kufuru kwa dini na mila zetu. Tusilisherehekee. Lets close this talk it doesnt deserve the time. La muhimu ni kumuombea marehemu , mungu amuweke pema peponi.
 
Back
Top Bottom