Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Duh! khatari sana hayo macho ya mwendokasi!Maskini tuna macho mkuu,kila noti ikirushwa tayari ishahesabiwa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! khatari sana hayo macho ya mwendokasi!Maskini tuna macho mkuu,kila noti ikirushwa tayari ishahesabiwa hapo
hyo audi ya pemba si ya mchezo mchezo walahi
ndo hapo sasa...hata 3m hazijafikaHalafu nani kateremka kaburini akazihesabu?
Kumbe umeona,hizo pesa hazifiki hata 5m ya kibongommmh hizo noti za elfu kumi na elfu ishiri za kuhesabika ndo zimefika zaid ya 30m???
au zipo zingine tofauti na hizo zinazoonekana kwa picha?
Umeambiwa m 30 za kibongo unaanza kukonvati tenaSasa milioni 30 ya uganda si ni 5000 ya bongo hii ni exchange rate ya 2015 inawezekana ikawa hata 3500
Huyo showoff 2 hku tz ndgu zke hoi kimaisha,watu wenye asset hawafanyi ujinga huo wkeNimesikia Jack Pemba alikatazwa kusogelea hilo kaburi-nia yake ilikuwa kuweka historia mpya Uganda-boot ya gari yake ilijaa pounds za UK-yaani hata nafasi ya kuweka coffin ingekuwa taabu
Povu la nn? si mkwanja wao?Hivyo Uganda hakuna Serikali? Hao wote waliomwaga fedha kaburini walipaswa kukamatwa na kushtakiwa mahakamani. Hili ni kosa la jinai. Ni sawa na kuchana fedha hadharani. Maana yake umeziondoa fedha ya serikali katika mzunguko halali wa kiuchumi.
Wewe umeelewa,kuna kijana hapo juu kaishia kutoa maneno ya kashfa!!Naona umetumia njia ndefu 'kuwaelezea'!
watu wanajua kukuzaKumbe umeona,hizo pesa hazifiki hata 5m ya kibongo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ntakuja kulifukua hilo dadeki...ngoja ntafute nauli kwanza...
Ielezee kidogo hiyo ritualHapo walikuwa wanafanya ibada. Refer Nigerian movie called Billionaire club