Kuna siku nilikula hii kitu sitasahasu. Very yummy
Kwani kamwambia hana uwezo?
Huyu nae stress za mkewe zinampeleka siko!
Ivan na Wema wanacheza ngoma za kipuuzi na za kijinga. Wema anafanya kampeni ya kumpigia debe Alikiba kwa kudhani kwamba atakuwa anamkomoa Diamond, naye Ivan anafanya hivyo kwa kudhani kuwa atakuwa anamkomoa Zari. Wote wawili hawa wanasahau kuwa kwa sasa Vision ya Diamond si kushindana na wasanii wa ndani, bali kushindana na wasanii wa nje. Na Alikiba akiingia katika mtego huu wa akina Wema na Ivan atakuja kupoteza mwelekeo na asijue pa kuanzia. Hawa watu wanafanya haya si kwa sababu wanampenda sana Alikiba, bali ni kwa sababu ya kupunguza stress zao za kuachika. Ivan bado anampenda Zari ndio haishi kuyafatilia maisha ya Zari kila siku, kwa upande wa Wema naye ni hivyo hivyo. Nimshauri tu Alikiba kwamba kufuata ushauri wa hawa watu atapotea, ni vema akasimama kwenye vision yake.
Hivi tuzo za kili zinawasaidiaje wanamuziki.maana kuna mtu ameshapata tano kwa mkupuo na simsikii tena
Haya wale washindani hadi huko UG wamejua kuwa Diamond yupo juu ndo maana katokea mtu anataka kumsaidia aliye chini. Ama kweli Diamond anawachawi wengi huku Wema na team yake kule ex wa Zari pembeni yupo huyu sijui nani inasemekana aliibiwa milion 738 kushoto kuna wale aliiowaambia hatafanya shooting Bongo kulia kuna wale aliokataa kufanya nao kolabo mbele kabisa kuna hawa ambao hawatoki kwa sababu yake na wanapoumia zaidi ni pale mawe yote wanayorushwa kwake na kinyume chake anazidi kupaa
Kaaa.. Mi Si mshabiki wa any team.. Labda nifah hahaa
But.. Nadhani jamaa.. Ni wivu tu kwa x wake, so this is a kind of revenge.