Rich gang: Mume wa Zari yuko tayari kumfadhili Ali Kiba

Rich gang: Mume wa Zari yuko tayari kumfadhili Ali Kiba

watu bwana kwani kiba kuombewa kura na wema au ivan kuna ubaya?
 
Mbna hamumsemi joket mmemwona wema pekee.... this country bwanaaa.....
 
Hawajielewi waganda hawana pakuchezea wameona TZ ndio nchi pekee itawashobokea...
 
Ivan na Wema wanacheza ngoma za kipuuzi na za kijinga. Wema anafanya kampeni ya kumpigia debe Alikiba kwa kudhani kwamba atakuwa anamkomoa Diamond, naye Ivan anafanya hivyo kwa kudhani kuwa atakuwa anamkomoa Zari. Wote wawili hawa wanasahau kuwa kwa sasa Vision ya Diamond si kushindana na wasanii wa ndani, bali kushindana na wasanii wa nje. Na Alikiba akiingia katika mtego huu wa akina Wema na Ivan atakuja kupoteza mwelekeo na asijue pa kuanzia. Hawa watu wanafanya haya si kwa sababu wanampenda sana Alikiba, bali ni kwa sababu ya kupunguza stress zao za kuachika. Ivan bado anampenda Zari ndio haishi kuyafatilia maisha ya Zari kila siku, kwa upande wa Wema naye ni hivyo hivyo. Nimshauri tu Alikiba kwamba kufuata ushauri wa hawa watu atapotea, ni vema akasimama kwenye vision yake.

Post kama hizi nilikuaga naziona enzi za jambo forum then jamii forum ya miaka ileee
Huu ndio uhalisia wenyewe mkuu
 
Haya wale washindani hadi huko UG wamejua kuwa Diamond yupo juu ndo maana katokea mtu anataka kumsaidia aliye chini. Ama kweli Diamond anawachawi wengi huku Wema na team yake kule ex wa Zari pembeni yupo huyu sijui nani inasemekana aliibiwa milion 738 kushoto kuna wale aliiowaambia hatafanya shooting Bongo kulia kuna wale aliokataa kufanya nao kolabo mbele kabisa kuna hawa ambao hawatoki kwa sababu yake na wanapoumia zaidi ni pale mawe yote wanayorushwa kwake na kinyume chake anazidi kupaa

Hahahaaa umeuaaaaaa! Wote umewa categorize ipasavyo, umewasahau wale waliokuwa wanashinda nae tandale enzi zile.
 
Kaaa.. Mi Si mshabiki wa any team.. Labda nifah hahaa

But.. Nadhani jamaa.. Ni wivu tu kwa x wake, so this is a kind of revenge.
 
Last edited by a moderator:
Kaaa.. Mi Si mshabiki wa any team.. Labda nifah hahaa

But.. Nadhani jamaa.. Ni wivu tu kwa x wake, so this is a kind of revenge.

Hahahahaa, mimi kwenye hii thread nimepita kimya kimya tu sijachangia chochote nilienda kuchangia instaaa...

Uwe wivu kwa mkewe uwe nini watajijua wenyewe, vita vya panzi furaha yetu kunguru!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom