Rich Gang ndiye kiboko ya Lil Wayne

Rich Gang ndiye kiboko ya Lil Wayne

Here's my take, Wayne ana wivu. Them n!99as were having more than what they were letting out man, or rather what y'all refused to see. They're homos, na Wayne anataka kutoka since Birdman anam-replace na Young Thug as his main. Here's why i see it that way

1. Hawa jamaa washawahi kiss in public, kati ya vitu vibaya sana kuwahi kutokea kwenye rap.

2. 'Wizzy 'F' baby'...self explanatory.

3. Young Thug, an open homo ana-roll na Birdman sana, ndio beef linatokea and Wayne wants out. Wivu? Why not.

4. Birdman kuna interview alikiri kwamba alikuwa bi-, talking about alikuwa confused and all that bs, pia akakiri Wayne is homo na alishamtaka pia yeye.

5. Maybe i don't like them too much, so i see things that way. Ila jumlisha mwenyewe pia.

Is it true???? Kwamba wana practice homo-sexual??? I didint hear before at any press.
 
Nachoelewa mimi;

CASH MONEY---Ni baba aliyemzaa YOUNG MONEY (YMCMB), Founder ni Birdman 'Baby'

UNIVERSAL MUSIC---Ni babaake CASH MONEY, so naweza sema YMCMB ni mjukuu

YOUNG MONEY(YMCMB)--- Ni kampuni iliyoanzishwa na Lil Wayne, ambapo alimweka rafiki yake Mack Maine kama Rais

RICH GANG---Ni project (album) ambayo inahusisha wasanii wa makundi yote mawili 'baba' + 'mtoto', ingawa wamewashirikisha pia wasanii kadhaa nje ya makundi/kampuni hizi mbili

Hapo kwenye red sio sahihi. Universal doesn't own CMB, wana distribution deal tu. Universal wana-press CDs na kuuza muziki online, that's it. Tena katika kila 100% CMB anakula 85% na Universal anakula 15%, CMB wana creative control, wanafanya publishing wenyewe na wanamiliki masters zao zote. Wataalamu wa biashara ya muziki wanasema haijawahi kutokea na haitakuja kutokea independent label kupata deal ya aina hiyo kutoka kwa major label.
 
nimekupata mzee
 
Back
Top Bottom