Rich Gang ndiye kiboko ya Lil Wayne


Is it true???? Kwamba wana practice homo-sexual??? I didint hear before at any press.
 

Hapo kwenye red sio sahihi. Universal doesn't own CMB, wana distribution deal tu. Universal wana-press CDs na kuuza muziki online, that's it. Tena katika kila 100% CMB anakula 85% na Universal anakula 15%, CMB wana creative control, wanafanya publishing wenyewe na wanamiliki masters zao zote. Wataalamu wa biashara ya muziki wanasema haijawahi kutokea na haitakuja kutokea independent label kupata deal ya aina hiyo kutoka kwa major label.
 

nimekupata mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…