Halafu kuna watu wanapenda kulaumu mabo ya mahusiano ya watu wengine. Aisee wanaojua ugumu na urahisi wa uhusiano huo ni mavoko na huyo mzazi mwenzie. Huku tutapiga porojo tu. Usikute hata baadhi yetu hata kutongoza hatuwezi kama mwenyekiti wa buguruni ngangari ila tunajua kulaumu walioachana.Chanzo unakijua au unalaumu tu, kama ni mtoto kwani kasema hamlei.. BTW kutoka mbali na mtu sio tiketi ya kutokuachana
Ahahaha,dahKuna rafiki yangu mmoja aliwahi nambia "jamii inamwamini sana mwanamke, unaweza ishi nae miaka nenda rudi kinyumba lakini siku mkigombana anaweza kusema kwa watu BWANA MWENYEWE HADINDI na watu wakaaamini kabisa"
Tusikimbilie kuhukumu bila kujua chanzo cha tatizo.
Hivi huyu mavoko gigymoney si alimtaja kwa list[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila huwezi jua labda Fay kamshindwa na tabia zake kaamua kusepa.
Hahaha! wanawake bhanaKuna rafiki yangu mmoja aliwahi nambia "jamii inamwamini sana mwanamke, unaweza ishi nae miaka nenda rudi kinyumba lakini siku mkigombana anaweza kusema kwa watu BWANA MWENYEWE HADINDI na watu wakaaamini kabisa"
Tusikimbilie kuhukumu bila kujua chanzo cha tatizo.
Hahaha nani atoke na mavoko alivyo polygon vileKijana kashaanza mambo ya kijinga au nae anataka majimama ya bongo movie kama wenzake!
Mbona unamwambia ukweli mtupuMbona povu babu au ndo umembadili Fay unaukalia siku hizi?
angelita pengine kuna sababu za wao kuachana....bila shaka kila mmoja wao ana hadithi ya kusema.Inasikitisha sana, uko na mtu hana kitu umemvumilia wee na shida zake akipata anakumwaga.
Mavoko kaanza kuishi na huyu mdada(Fay) zamani sana, enzi hizo anaishi kigogo hana kitu anakaa chumba kimoja sasa hivi kapanga Nyumba nzima Tabata magengeni anamuona mtoto wa watu hana maana.
Ni mambo yakusikitisha sana na yakuumiza, mbaya zaidi amemwacha mwenzie wakati ana mtoto mdogo.
Fay avumilie tu kwani yeye hawajui WBC?Mpaka sasa sijaona habari kamili inayoelezea chanzo cha kuachana kwao.....zaidi ya vilio vya mabinti dhidi ya huyo bwana mdogo......utadhani labda wao ni malaika......
Sijui ni kwanini wanawake wanapenda kujiweka kwenye upande wa kuonewa kila kwenye scene ya mapenzi......!!???
Yaani wanapenda kuonekana innocents hata kama wana makosa.....wanapenda kuonekana wanaonewa hata kwenye mambo ya kipuuzi wanayoyafanya.....!!
Ukweli wote anaufahamu huyo bwana mdogo na huyo mpenzi wake......mambo ya ndani ni mambo ya siri ya watu.......
Kuna jamaa alikwa anampiga mkewe kila siku na mkewe alikuwa wala haendi popote....na pia jamaa akawa mlevi wa kupindukia huku mkewe akiwa hasemi chochote.....tulipokuja kufahamu sababu ya jamaa kuwa vile....hapo hapo tukampa cheo cha ujemedari wa uvumilivu.......
Kuta nne za chumbani zina siri nyingi......watu wanaachana baada ya kuvumiliana kwa muda mrefu....na sio kwa kukurupuka......
mkuu mbona unadharau sana kila mtu ana mtu wake wakumpenda tena mi naona huyo mwanamke aliyemzalia ni mzuri kuliko hawa nao waona bongo muviHahaha nani atoke na mavoko alivyo polygon vile
Wabongo hii tabia yakutoka mbali ndo nini jamani? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tujifunze ku move on.Chanzo unakijua au unalaumu tu, kama ni mtoto kwani kasema hamlei.. BTW kutoka mbali na mtu sio tiketi ya kutokuachana