Rich Mavoko asajiliwa Tigo fiesta, kuperform Moshi

Zile show za njee atazisikiria kwenye redio tu na zile safari ndefu ndefu za south na nigeria atazioneya kwa tv na instagram
 
ila jamaa sijui ana mkosi gani? Clouds wamejaribu kumpigia debe baada ya kasajiliwa fiesta lakini wapi,raia wamempotezea hata show yke ya moshi watu hakuna shangwe labda kidogo baada ya kuimba ngoma zake za WCB
 
Kila nabii na zama zake
 
Nimesikia kuwa kijana huyo ni namna gani kumbe. Ndivyo hivyo.
ila jamaa sijui ana mkosi gani? Clouds wamejaribu kumpigia debe baada ya kasajiliwa fiesta lakini wapi,raia wamempotezea hata show yke ya moshi watu hakuna shangwe labda kidogo baada ya kuimba ngoma zake za WCB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…